SIMU.TV: Kiwango cha maambukizi mapya ya ugonjwa wa UKIMWI kimepungua kwa mujibu wa Tafiti iliyofanywa na taasisi yaTACAIDS.https://youtu.be/EdeO06rFKiM

SIMU.TV: Katibu mkuu ofisi ya Waziri mkuu TAMISEMI amesema wanatarajia kuanza kukaguzi wa mazingira katika maeneo ya jiji La Dar. https://youtu.be/GUhm3nFahCA

SIMU.TV: Aliyekuwa Mbunge Jimbo la Kahama Mjini CHADEMA ndg James Lembeli ametinga mahakamani na kufungua kesi ya Kupinga matokeo. https://youtu.be/XVKuHwGJqv8

SIMU.TV: Wananchi Wilayani Ulanga wanalazimika kununua dawa za ugonjwa wa kifafa baada ya dawa hizo kukosekana katika maduka ya hospitali na badala yake dawa hizo zinapatikana katika maduka binafsi kinyume cha sheria;https://youtu.be/bmT15Td0f7U

SIMU.TV: Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu amekataa kuchukua posho za Vikao vya bunge katika kipindi miaka yake 5 Bungeni. https://youtu.be/2HiFtO5PHvY

SIMU.TV: Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi ameiasa serikali pamoja na wananchi kuendeleza mahusiano mazuri na serikali ya Oman katika nyanja mbalimbali za uchumi; https://youtu.be/6eJtdEGKXJY

SIMU.TV: Fuatilia tathmini ya hali ya nishati ya umeme ilivyo nchini kutoka kwa mtaalam kutoka Wizara ya nishati na madini nchini;https://youtu.be/TUuA4vC6JEA

SIMU.TV: Serikali imeiagiza uongozi wa uwanja wa ndege wa KIA kuhakikisha biashara ya usafirishaji wa dawa za kulevya pamoja na nyara za serikali unakomeshwa; https://youtu.be/_V8orhJNlfY

SIMU.TV: Wakazi wa Kigamboni wameiomba serikali kufanya marekebisho ya vivuko vilivyopo ili kupata usafiri wa uhakika; https://youtu.be/KdFqALryue8

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...