Mkurugenzi wa Mfuko wa bima ya Afya ya Jamii (CHF) Eugen Mikongoti, akizungumza na Wadau wa Maendeleo ya Mfuko wa Kimataifa wa Afya wa Korea kuhusiana na utekelezaji wa mifumo ya habari na mawasiliano ya uzalishaji na ufuatiliaji wa madai ya watoa huduma za afya kwa wanachama katika mkutano uliofanyika leo ndani ya Hoteli ya Blue Pearl Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Habari wa (NHIF) Ali Othman akitoa mada katika Mfuko wa Kimataifa wa Afya wa Korea kuhusu utekelezaji wa mifumo ya habari na mawasiliano ya uzalishaji na ufatiliaji wa madai ya watoa huduma za afya kwa wanachama katika mkutano uliofanyika leo katika Hoteli ya Blue Pearl Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya ushirikiano na Maendeleo kutoka Korea, Chun Chang Bae, akitoa mada katika mkutano wa Maendeleo Mfuko wa Kimataifa wa Afya wa Korea jijini Dar es Salaam.
Maofisa wa wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakiteta jambo kabla ya mkutano kuanza katika hoteli ya Blue Peal jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka wa Glub ya jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...