Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini kwake tangu alipoapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano.
(Picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. The mdudu, mhh new Tanzania hiyo naiona yaja kwa kasi ya #AJABU nasikia tayari ghafla bini vuuu wizara ya #mipesa cha kushangaza kakuta vibosile viko nje ya jengo vinapiga domo badala ya kazi kaongea nao kisha katoweka akiwaacha vibosile mavi #debe. ......#hapakazi2

    ReplyDelete
  2. Hapa kazi tuuu.

    Tuna mategemeo makubwa kwako na tuna imani hutatuangusha.
    Tutume tufanye kazi Tanzania mpya inakuja.

    ReplyDelete
  3. Kiboko ya wavivu, mafisadi, madhalimu na waonezi ameanza kazi. Taifa letu linaumwa majipu nilazima yafinwe ili yapone na tufike tunakokwenda. Big up Rais wetu kamua hivyo hiyvo mpaka majibu hayo yatumbuke.

    ReplyDelete
  4. Rais amejaa kitini. Hakika anatosha!

    ReplyDelete
  5. Wabadhilifu wa pesa za umma washughlikiwe. Taifa ni lazima kuweka akiba; sio kufuja!

    ReplyDelete
  6. Wengi wa watumishi wamefanya ofisi ksma kijiwe wakifika tu wanasini then wanaenda kwenye shuguli zao binafs.
    Sasa jumatatu ofisi zote za seriksli utawakuts ofisini saa kumi asubuhu

    ReplyDelete
  7. Ninaunga mkono wachangiaji wote mliofurahia ujio wa Rais Dk. John Pombe Magufuli, ila na mimi nichangie kwamba Rais asijali sura wala jina la mtu yeyote miongoni mwa atakaowachgua kuwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na kadhalika, bali kwake iwe ni HAPA KAZI TU. Yeyote atakaekwenda kinyume na slogan hiyo asimpe uhamisho bali amfukuze kazi na kama kutakuwa na hasara aliyoisababisha basi amlipishe yote - ikibidi amtaifishe mali zake na NI MUHIMU SANA amfunge jela miaka inayostahili ukubwa wa kosa lake.

    ReplyDelete
  8. Mungu akusaidie katika kazi zako na kukufanyia wepesi katika kuyatekeleza na kuyatimiza yale yote uliyoyaahidi na hatimae kuifikisha nchi yetu na raia wake pale tunapostahili in all aspects of life.
    #HapaKaziTu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...