Home
Unlabelled
Rais Magufuli akiwa Ofisini Kwake Siku ya Kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu, mhh new Tanzania hiyo naiona yaja kwa kasi ya #AJABU nasikia tayari ghafla bini vuuu wizara ya #mipesa cha kushangaza kakuta vibosile viko nje ya jengo vinapiga domo badala ya kazi kaongea nao kisha katoweka akiwaacha vibosile mavi #debe. ......#hapakazi2
ReplyDeleteHapa kazi tuuu.
ReplyDeleteTuna mategemeo makubwa kwako na tuna imani hutatuangusha.
Tutume tufanye kazi Tanzania mpya inakuja.
Kiboko ya wavivu, mafisadi, madhalimu na waonezi ameanza kazi. Taifa letu linaumwa majipu nilazima yafinwe ili yapone na tufike tunakokwenda. Big up Rais wetu kamua hivyo hiyvo mpaka majibu hayo yatumbuke.
ReplyDeleteRais amejaa kitini. Hakika anatosha!
ReplyDeleteWabadhilifu wa pesa za umma washughlikiwe. Taifa ni lazima kuweka akiba; sio kufuja!
ReplyDeleteWengi wa watumishi wamefanya ofisi ksma kijiwe wakifika tu wanasini then wanaenda kwenye shuguli zao binafs.
ReplyDeleteSasa jumatatu ofisi zote za seriksli utawakuts ofisini saa kumi asubuhu
Ninaunga mkono wachangiaji wote mliofurahia ujio wa Rais Dk. John Pombe Magufuli, ila na mimi nichangie kwamba Rais asijali sura wala jina la mtu yeyote miongoni mwa atakaowachgua kuwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na kadhalika, bali kwake iwe ni HAPA KAZI TU. Yeyote atakaekwenda kinyume na slogan hiyo asimpe uhamisho bali amfukuze kazi na kama kutakuwa na hasara aliyoisababisha basi amlipishe yote - ikibidi amtaifishe mali zake na NI MUHIMU SANA amfunge jela miaka inayostahili ukubwa wa kosa lake.
ReplyDeleteMungu akusaidie katika kazi zako na kukufanyia wepesi katika kuyatekeleza na kuyatimiza yale yote uliyoyaahidi na hatimae kuifikisha nchi yetu na raia wake pale tunapostahili in all aspects of life.
ReplyDelete#HapaKaziTu.