Home
Unlabelled
Rais Magufuli alipofanya ziara ya ghafla Wizara ya Fedha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
i like this guy. He's a worker and he means business.
ReplyDeleteI like this guy. He's a hard worker.
ReplyDeleteThe mdudu, mhh #hapakazitu naona my Shilings soon itakua na thamani kubwa hii wizara inamfaa Mwigilu Nchemba tu na ushauri wangu kwake apige MARUFUKU ulipiaji wa $ tunataka malipo yote yawe kwa Shillings yetu $ America sio ndani ya Tanzania yetu
ReplyDeleteNaanza kuona dalili za huyu jamaa kuwa rais bora. Na raisi huyu kaahidi kupambana na rushwa na ubaguzi wa kikand, kimkoa, kikabilia, kidini, na kirangi. nadahni ataanzisha sheria ikayoadhibu wala rushwa, wafisidi, na wasiofata taratibu za kazi na maadili.
ReplyDeleteNahisi ndani ya mwezi tunaweza kuona tofauti kubwa ya utendaji.
Sasa usilete wale mawaziri wazembe wa zamani watakuharibia kazi kama walivyowaharibia wenzako.
ReplyDeleteUsimsahau Mwakyembe maana naye ana sipirit inayofanana na yako.
#HapaKaziTu. Kweli nyota njema huonekana asubuhi na dalili ya mvua ni mawingu. Naam bashraf tumeshaanza kuisikia, tusubiri mziki wenyewe. naamini itafikia wakati tutakuja kukubali sio suluhisho la kuwa na vyama lukuki tukiamini ati ndio suluhisho la kuikwamuwa hali ya nchi na wananchi wake kiuchumi n.k. Naamini Chama kinaweza kuwa ni kile kile kimoja ila tu ni kuwa na viongozi madhubuti, imara, waadilifu, wakweli, wachapakazi, ambao wapo 'committed' na majukumu yao kwa manufaa ya umma na Taifa zima kwa jumla, viongozi ambao wanajali maslahi ya wengi kwa manufaa ya kila rika bila kujali tofauti zao zozote zile, kuwapata kama hao au kuwa nao, kutasaidia kwa kiasi kikubwa kusonga mbele, kwani hata tuwe na vyama mia moja kama watendaji wake ni wenye silka ya aina moja ya ufisadi fisadi, hali inakuwa ndo ile ile haina tofauti. Naamini sasa hivi alau tumekuwa na imani na Mh. Rais wetu mpya wa awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli, huenda tukawa tumeondokana na zile ahadi hewa zinazokuja kuwa ngumu kutimizika kwa kisingizio hiki na kile, tunaamini soon tutaanza kuona mabadiliko na kukubali kwa asilimia zote kweli Mh. Rais wetu John Pombe Magufuli, kadhamiria kwa vitendo haikuwa nadharia tu!
ReplyDeleteMola akulinde uweze kutimiza malengo, mikakati, ahadi na maazimio yote uliyoyapanga ili kulifikisha Taifa letu pale linapostahili kimaendeleo na kiuchumi kwa jumla.
#HapaKaziTu
Magufuri atairudishia CCM uhalisia wake na pia wananchi watakua na Imani na viongozi wake ni jamaa anaejua mianya mingi ya ubadhirifu. Wacha tusubiri baraza lake.
ReplyDeleteSimchezo...... duh
ReplyDeleteIli Raisafanikiwe kukamilisha ahadi na malengo yake inabidi katiba na sheria vifuatwe.Kusiwe na wale walio juu ya sheria.Mahakimu wa ngazi zote waache kula rushwa. Ieleweke na kukubalika kuwa mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa na ni maadui wa haki. Pia,na hili ni muhimu sana,kila mwananchi awajibike. Tuwache maneno tu na kuamini kuwa serikali itafanya kila kitu. Kwanza tuache uchafu, tuache uharibifu,tujiheshimu na kuheshimiana,tujali afya zetu,kila kitokacho nchi za nje si bora.
ReplyDelete