Home
Unlabelled
Rais Magufuli alipofanya ziara ya ghafla Wizara ya Fedha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo patanoga zaidi waziri mkuu akiwa Kinana au Mwakyembe.
ReplyDeleteNa mawaziri wengine wawe damu changa isiyotaka rushwa kama vile J.Makamba, Mwigulu, Nape, n.k.
Wazee wachapakazi waliobaki ni wawili tuu, Magufuli na Mwakyembe.
Nakubaliana na maoni ya mdau wa kwanza hapo juu. In case tukiwarejesha hao kwa hao na khasa wale walokubuhu kwa rushwa, ufisadi,wizi na wingi wa tamaa kwa manufaa yao binafsi pasina kujali maslahi ya walio wengi wavuja jasho, basi itakuwa ni sawa na kuzaliwa mtoto mpya asiye na hatia, then tukamkabidhi alelewe na kukulia mikononi mwa wazazi hao hao walokubuhu kwa rushwa, ufisadi, wizi na tamaa, obvious itakuwa sawa na ule usemi wa mwandishi fulani aliposema...."The Beautyful Ones Are Not Yet Born"
ReplyDeleteNaamini sasa hivi Taifa limepata mkombozi wa kupambana na vilivyokuwa vikwazo vya kusonga mbele kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yetu, ambae si mwingine bali ni Mh. Rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli. Hakuna kingine kwake bali ni wito wake wa kuchapa kazi tu!
#HapaKaziTu.
Hapa kazi tu huyu ndo rais ambaye watanzania tunamhitaji. Waziri mkuu awe mwakyembe
ReplyDeleteKuna a lot of redundant responsibilities serikalini.Serikali ipitie upya majukumu ya wafanyakazi wake na kuondoa wafanyakazi wasio na majukumu ya muhimu kama njia ya kupunguza matumizi.
ReplyDelete