SIMU.TV: Rais Magufuli ametaja vipaumbele atakavyovizingatia wakati wa kutekeleza majukumu yake kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.https://youtu.be/QvzOHNI9u88
SIMU.TV: Hofu ya kipindupindu imetanda kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Hai Kilimanjaro kutokana na vyoo kujaa. https://youtu.be/jMHD9Zc5ovE
SIMU.TV: Yafahamu na kuchambua mengi hapa kuhusiana na vyombo vya habari jinsi walivyochambua uteuzi wa Maspika na Waziri mkuu: https://youtu.be/cYK0dC9zeKQ
SIMU.TV: Mtandao wa Wanawake, katiba na Uchaguzi umelaani kitendo cha baadhi ya Wabunge kumzoea naibu spika wakati akijielezea. https://youtu.be/gG-PKOP5CgY
SIMU.TV: Fahamu mengi hapa kuhusiana na masuala mbali mbali ya utendaji wa viongozi na sifa muhimu anazotakiwa kuwa nazo kiongozi bora:https://youtu.be/O6sX2LBm8fE
SIMU.TV: Chambua na kuyajua mengi hapa kutoka kwa wadau wa michezo kuhusiana na michuano ya Mashindano ya kawambwa mjini bagamoyo:https://youtu.be/MIYTRh6B5Hk
SIMU.TV: Yajue mengi hapa kuhusiana na magezeti mbali mbali jinsi walivyochambua habari za uteuzi wa waziri pamoja na hotuba ya kwanza ya Rais:https://youtu.be/H0jGtBTLOdc
SIMU.TV: Fahamu mengi hapa kuhusiana na masuala mbali mbali ya utendaji wa viongozi na sifa muhimu anazotakiwa kuwa nazo kiongozi bora:https://youtu.be/O6sX2LBm8fE
Habari zaidi BOFYA HAPA
Habari zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...