Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar leo
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinuliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiendesha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar uliofanyika leo Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja(kushoto) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar (NEC) wakifuatilia kwa makini Mkutano wa siku moja uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein uliofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja. Picha na Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...