Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sijaona hoja za afande.

    kama shehena ya hivyo vifaa ilitakiwa kuwa siri basi jeshi lilipaswa kuviteremsha ktk uwanja wa ndege wa kijeshi na siyo huku uraiani.

    Pia hiyo helikopta iliyopigwa picha mbona matumizi yake ni ya kiraia, kwa maana ni helikopta ya Raisi, na wananchi tutakuwa tunaiona? Sasa kuna tatizo gani ikipigwa picha?

    Mwisho, mbona jeshi hufanya maonyesho mbalimbali ya silaha na vifaa vya kijeshi?

    Nawaheshimu askari wetu, lakini ktk tukio hili sikubaliani nao.

    ReplyDelete
  2. The mdudu,wewe mdau wa kwanza una wazimu mbona unataka kuingilia kati mambo ya jeshi letu pendwa hiyo ndio faida ya utandawazi na hasara zake kuna vya kupiga picha lakini kuna vingine kabla ya kupiga picha jiulize mwenyewe hivi nikipiga hii picha nini faida zake na hasara zake sasa kama #unajitambua huwezi pata taabu maishani mwako so we mjinga hapo juu tuliza kitenesi wacha waisome number kisha watanyookaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...