Home
Unlabelled
JWTZ Yawashikilia Wafanyakazi 4
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijaona hoja za afande.
ReplyDeletekama shehena ya hivyo vifaa ilitakiwa kuwa siri basi jeshi lilipaswa kuviteremsha ktk uwanja wa ndege wa kijeshi na siyo huku uraiani.
Pia hiyo helikopta iliyopigwa picha mbona matumizi yake ni ya kiraia, kwa maana ni helikopta ya Raisi, na wananchi tutakuwa tunaiona? Sasa kuna tatizo gani ikipigwa picha?
Mwisho, mbona jeshi hufanya maonyesho mbalimbali ya silaha na vifaa vya kijeshi?
Nawaheshimu askari wetu, lakini ktk tukio hili sikubaliani nao.
The mdudu,wewe mdau wa kwanza una wazimu mbona unataka kuingilia kati mambo ya jeshi letu pendwa hiyo ndio faida ya utandawazi na hasara zake kuna vya kupiga picha lakini kuna vingine kabla ya kupiga picha jiulize mwenyewe hivi nikipiga hii picha nini faida zake na hasara zake sasa kama #unajitambua huwezi pata taabu maishani mwako so we mjinga hapo juu tuliza kitenesi wacha waisome number kisha watanyookaaa
ReplyDelete