Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba akisalimiana na
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya kuwasili Ofisini hapo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina akisalimiana na baadhi ya
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati ya mapokezi ya kuwapokea.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba na Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu na
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba na Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. Luhaga Mpina wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...