TBC
Ndalichako kuanza na shule za sekondari za serikali, Askari waliofanya mauji ya kinyama kizimbani. Pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/_72hzpy1xt8
Star TV
Mawaziri wapya watangaza kiama, IGP Mangu alifumua jeshi la polisi, serikali yastukia vifaa vya tiba asili na mbadala. https://youtu.be/5N3StIbFYsY
Ch 10
Bosi Zantel auawa kinyama kwa risasi, Waziri Maghembe amshukia Kinana, Magufuli na Lowassa wamtesa Gwajima. Pata dondoo hizi hapa. https://youtu.be/4rDMqlAJx8A
Azam TV
Ngoma atimkia Afrika kusini, Nimuboma na Majabvi sasa ki roho safi Msimbazi, Niyonzima Kitanzini. Pata dondoo za michezo hapa. https://youtu.be/B7VEULSR87A
Mlimani TV
Taarifa ya kipindupindu sasa kutolewa kila wiki, mtuhumiwa wa dawa za kulevya aanguka kortini, Pata dondoo za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/xWi9yl1-jvM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...