Ndoa ya Bw. Yassin Shabani Kweka wa Maili Sita mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na bi Rehema Kisarika wa Mbauda jijini Arusha. Ndoa ilifungwa nyumbani Kwa mama Rehema tarehe 19/12/2015.
Bwana harusi akimlisha asali mkewe wakati wa aqdi mwishoni mwa wiki jijini Arusha
Hati ya ndoa
Madada wa Bwana Harusi wakiwa na wifi yao...
Mawifi kutoka kulia ni aumu ,Leila, Minor na Fatuma.
Maharusi kwenye pozi ya furaha baada ya kumeremeta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. maashallah allah awajaalie kila lenye kheri na wao amin na awape watoto wema wenye kushika dini amin...

    haya na hao mawifi wote washaolewa maana maashallah na nataka tuunge udugu jamani kama bado watujuze tuweke nr ya simu asalam alykum

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...