Meneja wa Benki ya NMB tawi la Moshi,Emanuel Kishosha akishiriki na wafanyakazi wenzake katika zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya uwanja wa michezo wa King George.
Meneja wa NMB,Emanuel Kishosha akisukuma tololi kuzoa taka.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB,wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala pamoja na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini (kushoto) mara baada ya kumaliza kufanya usafi katika uwanja wa michezo wa King George.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...