Camera
ya Globu ya Jamii imelinasa tukio la baadhi ya Raia wenye hasira
waliokuwa wakilishambulia gari la mtu mmoja lenye namba za usajili T945
BYG,na pia kumpa kipigo mtu huyo aliyetuhumiwa kuwa ni tapeli .
Mtu huyo alijitambulisha kuwa ni Afisa wa TRA,lakini akatuhumiwa kuwa ni tapeli aliyetaka kufanya tukio la kiuhalifu kwenye moja ya Maduka yaonekayo mbele ya gari hilo,tukio hilo limetokea hivi punde maeneno ya Tabata Segerea. Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mapema,amekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Tabata Segerea kwa hatua zaidi za kisheria

Anaonekana katoza watu ushuru kitambo. Akabidhiwe kwa mh JPM ajibu tuhuma ya kuikosesha serikali mapato
ReplyDeleteSwali. Je angekuwa tra kweli angechoka? Seems ndo zao ha Matra.
DeleteJe ni kweli Maofisa wa TRA wanaenda kuwadai watu kodi namna hiyo madukani? Uwekwe utaratibu wa hata inapobidi maofisa waende dukani lazima wawe na usimamizi wa maaskari kweka amani.
ReplyDelete