Camera ya Globu ya Jamii imelinasa tukio la baadhi ya Raia wenye hasira waliokuwa wakilishambulia gari la mtu mmoja lenye namba za usajili T945 BYG,na pia kumpa kipigo mtu huyo aliyetuhumiwa kuwa ni tapeli .

Mtu huyo alijitambulisha kuwa ni Afisa wa TRA,lakini akatuhumiwa kuwa ni tapeli aliyetaka kufanya tukio la kiuhalifu kwenye moja ya Maduka yaonekayo mbele ya gari hilo,tukio hilo limetokea hivi punde maeneno ya Tabata Segerea. Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika  mapema,amekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Tabata Segerea kwa hatua zaidi za kisheria
 
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Anaonekana katoza watu ushuru kitambo. Akabidhiwe kwa mh JPM ajibu tuhuma ya kuikosesha serikali mapato

    ReplyDelete
    Replies
    1. Swali. Je angekuwa tra kweli angechoka? Seems ndo zao ha Matra.

      Delete
  2. Je ni kweli Maofisa wa TRA wanaenda kuwadai watu kodi namna hiyo madukani? Uwekwe utaratibu wa hata inapobidi maofisa waende dukani lazima wawe na usimamizi wa maaskari kweka amani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...