Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo aliyemtembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Mhe Mhe. Prefere Ndayishimiye aliyesimama katikati ni Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo.
Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akimsikiliza kwa umakini Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo alipofanya mazungumzo naye ofisi kwake jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson (aliyeko katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Burundi nchini Mhe. Prefere Ndayishimiye (kulia), Rais wa na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo (kushoto).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Our Deputy Speaker still looks like a young academic/lecturer in her style of dress. She should aim to transform her wardrobe into a more stately style more becoming of her new position.

    ReplyDelete
  2. anon wa hapo juu umesema jambo muhimu sana.

    academician wengi huchukua muda kubadilika wanadhani bado wap[o darasani wanafundisha vyuoni. kuvaa kutembea na kuongea kuendane na hadhi na cheo chake cha sasa.

    asijekuonekana kituko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...