Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Wizara iliyokuwa ya Uchukuzi wakati alipotembelea Wizara hiyo ambayo sasa imeunganishwa na Ujenzi na Mawasiliano.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akitoa maelekezo kwa watendaji wa Wizara hiyo namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili na mikataba wanayoingia iwe kwa maslahi ya nchi.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akiweka sahihi katika kitabu cha wageni huku Katibu Mkuu wa aliyekuwa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bw. Yamungu Kayandabila akishuhudia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...