Home
Unlabelled
pale mbuzi anapofia kwa muuza supu....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hicho kichwa cha habari kimenichekesha sana, nakushukuru muandishi kwa ustadi wako.
ReplyDeleteKichwa cha habari ni burudani tupu.
ReplyDeleteHapo ndipo ninapoipendea lugha yangu ya taifa.
Anony wa kwanza na wa pili nawashangaa, msichoelewa ni nini hasa. Ni vema siku zote munaposoma kama wasomaji tafakarini pia. Basi kwa msaada wenu: Traffic ni muuza supu na yule mwenye gari nyingine ni mbuzi. Mbuzi anapofia kwa muuza supu unategemea muuza supu afanye nini.
ReplyDeleteLakini hata kama kuna kosa tupime hilo kosa moja au mawili na manufaa au habari ngapi tunazipata kupitia hii blog. Makosa MADOGOMADOGO LAZIMA YATOKEE.
samahani lakini hawa mapolisi huwa wanajiona kama wafalme wakiwa barabarani , wanahisi wao wako sawa tu bila kuangalia usalama wa vyombo vyengine au watembeaji , nafikiri rungu la magufuli lifike huko
ReplyDelete