Askari wa Usalama barabarani akiangalia namna gari yake ilivyoumia baada ya kugongana uso kwa uso na gari nyingine katika ajali iliyitokea mchana huu eneo la Tegeta jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hicho kichwa cha habari kimenichekesha sana, nakushukuru muandishi kwa ustadi wako.

    ReplyDelete
  2. Kichwa cha habari ni burudani tupu.
    Hapo ndipo ninapoipendea lugha yangu ya taifa.

    ReplyDelete
  3. Anony wa kwanza na wa pili nawashangaa, msichoelewa ni nini hasa. Ni vema siku zote munaposoma kama wasomaji tafakarini pia. Basi kwa msaada wenu: Traffic ni muuza supu na yule mwenye gari nyingine ni mbuzi. Mbuzi anapofia kwa muuza supu unategemea muuza supu afanye nini.
    Lakini hata kama kuna kosa tupime hilo kosa moja au mawili na manufaa au habari ngapi tunazipata kupitia hii blog. Makosa MADOGOMADOGO LAZIMA YATOKEE.

    ReplyDelete
  4. samahani lakini hawa mapolisi huwa wanajiona kama wafalme wakiwa barabarani , wanahisi wao wako sawa tu bila kuangalia usalama wa vyombo vyengine au watembeaji , nafikiri rungu la magufuli lifike huko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...