HAPA KAZI TU ya  Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe  Joseph Magufuli  ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais  huyo akionekana katika picha akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli,wakishiriki kufanya usafi leo ndani na nje viunga vya Ikulu ikiwemo pia soko la Samaki Feri,ambako alipata wasaa kuwasikiliza wachuuzi wa samaki na wavuvi.
guf1 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mama Janeth Magufuli wakielekea eneo la ufukwe wa Ferry kufanya usafi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba.
guf2 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizoa taka katika eneo la ferry jijini Dar es Salaam.
guf3 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizoa taka katika eneo la ferry jijini Dar es Salaam.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mungu akubariki Mheshimiwa Rais.

    ReplyDelete
  2. Wow! How nice. An ideal leader leading by example. I wish all leader could be like this. Magufuli is a true leader. Good job Mr. President.

    ReplyDelete
  3. Tuko nyuma yako baba, tuendeleze usafi na nchi yetu.Tanzania oyee!

    ReplyDelete
  4. Pongezi kubwa sana kwenu coz mnafanya kazi kwa vitendo na mna tuonyesha mifano #tanzaniabilayauchafuinawezekana

    ReplyDelete
  5. Mh Michuzi si vibaya serikali ikituma japo mwakilishi mmoja hapo Rwanda kujifunza kwani wao wameweza na ukijaribu kutupa taka wananchi wanakukamata wao wenyewe bila shuruti ni pasafi mno.ila pia usafi hautafanikiwa bila kampeni endelevu kwa nchi nzima nikimaanisha mabango ,sheria ndogondogo na skips ama dustbins kuwekwa mitaani

    ReplyDelete
  6. ni vyema dkmagufuli akawafatilia wahusika wa kusafisha miji wa halmashauri ambao wanalipwa fedha na wananchi kila mwezi ili mji usafishwe lakini hawafanyi kazi ipasavyo kwa sababu hii kusafisha mji kwa wananchi wote haitowezekana kila mara labda kwenye sikukuu kama hivi leo , au sikukuu ya muungano nk

    ReplyDelete
  7. I commenda you Mr. President. You are leaving by example thus fulfilling our Lord Jesus's directive: whoever wants to be a leader should be a sevant (or something like that)

    ReplyDelete
  8. I commenda you Mr. President. You are leading by example thus fulfilling our Lord Jesus's directive: whoever wants to be a leader should be a sevant (or something like that)

    ReplyDelete
  9. RAIS, akionyesha kuwajibika kwa VITENDO.

    Kwa kweli waTendaji wabovu hawatakiwi tena, Nchi ina watu wengi wanaotafuta kazi. Utendaji mzuri utaipeleka nchi yetu pahali watanzania watatia moyo zaidi kwa kujituma kwa ufanisi na kuwezesha kunufaika kwa uchumi, wa uwajibikaji katika kila sekta, PRIVATE and PUBLIC SECTOR.

    ReplyDelete
  10. THESE ARE HEART WARMING PICTURES
    I just wanted to praise JPM and his team, but I am aware I will run out of superlatives. Mark my words Tanzania is gonna change, change is coming I can see it, I can feel it.I need not tell them what to do, but may I suggest a few things.There is need for a campaign of public education, zile tabia za kula miwa na kutupa madanga while walking along the road must stop
    We need community volunteers to clean their own areas We need CWO, Corrective Work Orders where offenders are by law obliged to work for specified period to clean up the environment kama vile Singapore wana laws kama hizo.
    LITTERBUGS your days are numbered.

    ReplyDelete
  11. HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...