Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (wa tatu kushoto)
akikabidhi kikombe cha ushindi wa kuvuta kamba kwa timu ya kitengo cha
uendeshaji baada ya kuibuka kidedea katika mashindano ya kuvuta kamba
katika hafla ya Gapco Family Day, liliyofanyika mwishoni kwa wiki,
Escape One, Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi
GAPCO pamoja na familia zao wakishiriki kucheza Zumba Dance kwenye siku
ya familia ya GAPCO, iliyofanyika mwishoni kwa wiki, Escape One,
Jijini Dar es salaam.
Mtendaji
Mkuu wa GAPCO Tanzania, Vijay Nair akikabidhi zawadi kwa moja wa
washindi wa mashindano ya maswali kuhusu kampuni na bidhaa za GAPCO.
Kasoro hayo ya Mickey Mouse!
ReplyDeleteTuwe wabunifu kwa vyetu na tuachane na mawazo ya utumwa! Hii ni sehemu ya "mabadiliko"!