SIMU.TV: Mbunge wa Lindi mjini Hassan Kaunje ameanza mikakati ya kuondoa kero ya maji ikiwa ni utekelezaji wa ahadi alizotoa wakati wa kampeni;https://youtu.be/LrgiliHiBkM
SIMU.TV: Migogoro ya familia na ukosefu wa haki vimetajwa kuwa chanzo kikuu cha ongezeko la ukatili kwa watoto; https://youtu.be/QUBxgDtc_vs
SIMU.TV: Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Bunda ameazimia kuwafichua wabadhirifu wa fedha za miradi; https://youtu.be/z5gSqLInXbo
SIMU.TV: Wakazi wa Kongwa wamepunguza magonjwa ya milupuko zaidi ya asilimia 90 kutokana na elimu waliyoipata ya usafi wa mazingira;https://youtu.be/_Ue031daNYA
SIMU.TV: Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Singida wameuomba mfuko wa Bima ya afya wa NHIF kupunguza kiwango cha kuchangia malipo ya huduma za afya. https://youtu.be/Wtaz5Byy-AA
IMU.TV: Wazazi na walezi wenye watoto wenye ulemavu wametakiwa kutowaficha watoto wao majumbani na badala yake wawapeleke katika shule maalumu. https://youtu.be/R1Gppw4kvB4
SIMU.TV: Mtifunao wa ligi kuu soka Tanzania bara umeendelea kwa timu za Coastal Union na African Sports kutoka sare ya bao 1 kwa 1.https://youtu.be/o01HpE7hFUE
SIMU.TV: Watoto 42 kati ya 100 nchini wana udumavu kutana na kukosa lishe bora ikiwemo wazazi kutokuwanyonyesha watoto wao.https://youtu.be/wPFzso8GbRE
SIMU.TV: Madiwani wa Halmashauri ya Ileje mkoani Mbeya wametakiwa kubuni vyanzo vya mapato na kusimamia vyema matumizi ya wilaya hiyo. https://youtu.be/an0ni-aNlKc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...