Maria Mtura wa Kitanda
1933 - 14 Desemba, 2015
Familia ya Jaji Mstaafu Steven James Bwana wa Plot. No. 903 Chakechake Rd. Masaki jijini Dar es salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa Maria Mtura wa Kitanda kilichotokea jana tarehe 13 Desemba, 2015.
Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho tarehe 15 Desemba, 2015 saa Kumi Alasiri kuelekea kijijini Etaro, Musoma kwa mazishi. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa.
na jina lake lihimidiwe.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa.
na jina lake lihimidiwe.
RIP Mama...
ReplyDelete