Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akipokea zawadi ya Ua kutoka kwa Mtumsihi wa Wizara hiyo, Veronica Mwafisi wakati Katibu Mkuu wa Wizara, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akiwaongoza Watumishi wa wizara yake kumpokea rasmi Waziri huyo alipokuwa anawasili wizarani hapo kuanza kazi leo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi (D/IGP), Abdurahman Kaniki wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (katikati) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali Pius Makuru Nyambacha, wakati Waziri huyo alipokuwa anawasili rasmi wizarani kwa ajili ya kuanza kazi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil akiwatambulisha watumishi wa wizara yake kwa Waziri Kitwanga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...