Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Waziri Mkuu
Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu
huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea, Desemba 16, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea Desemba 16, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mh KM, hicho ni kisima cha busara, najuwa umetoka na hekima tele. Binafsi namuheshimu sana Mzee Sinde
ReplyDeleteHiyo briefcase hapo pembeni inanikumbusha enzi za miaka ya 70 na mwanzoni mwa 80. Wakati huo hakuna simu za viganjani wala computer na wenye briefcase kama hizi walikuwa wakisafiri na TRC mabehewa ya first class au wanapaa kwa ATC. Wengi wao walikuwa watumishi wa serikali, wakitumia vile vile Land Rover.
ReplyDelete