Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea, Desemba 16, 2015. 

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea Desemba 16, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mh KM, hicho ni kisima cha busara, najuwa umetoka na hekima tele. Binafsi namuheshimu sana Mzee Sinde

    ReplyDelete
  2. Hiyo briefcase hapo pembeni inanikumbusha enzi za miaka ya 70 na mwanzoni mwa 80. Wakati huo hakuna simu za viganjani wala computer na wenye briefcase kama hizi walikuwa wakisafiri na TRC mabehewa ya first class au wanapaa kwa ATC. Wengi wao walikuwa watumishi wa serikali, wakitumia vile vile Land Rover.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...