
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Adam Mayingu aliyemtembelea ofisi kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa na Mkurugenzi mkuu wa PSPF Adam Mayingu alipomtembelea ofisi kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 4 Januari, 2014.(Picha na Ofisi ya Bunge)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...