SHIRIKA LA VIWANGO
TANZANIA (TBS), LINAPENDA KUWAKUMBUSHA WAUZAJI WOTE WA BIDHAA ZA MATAIRI
YALIYOTUMIKA, NGUO ZA NDANI ZA MITUMBA, VILAINISHI VYA MAGARI NA MITAMBO
(OIL LUBRICANTS) NA
BIDHAA ZOTE AMBAZO HAZIJATHIBITISHWA
UBORA WAKE NA TBS, KUZIONDOA SOKONI BIDHAA HIZO MARA MOJA.
HATUA KALI ZA
KISHERIA ZITACHUKULIWA KWA YEYOTE ATAKAYEKAIDI AGIZO HILI.
TANGAZO HILI
LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MKUU WA
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA.
MIMI NI ASKARI WA TPDF NAKAA PUGU-DUNDA NYINYI WATU WA TBS,NJOONI HAPA KAMATA PUNDA HAPA PUGU WAPO ZAIDI YA MIA HIVI ,WATU WAKO WANATOA VIBALI VYA MAGENDO KUSAFIRISHA PUNDA WA KUCHINJA KUTOKA SINGIDA NA DODOMA KULETA DAR ES SALAAM ILI WACHINJE KWENDA CHINA,WALE PUNDA WALIOKATALIWA DODOMA WACHINA WAMEHAMISHIA PUGU-DUNDA KATIKA MACHINJIO YASIYO RASMI,INAWEZA KUWA HATARI HII NYAMA WAKATUCHANGANYIA NA YA NG'OMBE KAMA DODOMA JE SHERIA ZA VIWANGO ZINARUHUSU MACHINJIO YA PUNDA KUWA JIRANI NA MAKAZI YA WATU????
ReplyDeleteHeko kamanda kwa kuwa na uchungu na nchi yako na wananchi wake.
DeleteWEWE ASKARI SIJUI TPDF SIJUI NINI KWANI KITU GANI KISICHOLIWA HAPA DUNIANI? PUNDA NI SAWA NA NGOMBE TU KAMA HUJUI , WENZETU WEST AFRICA WANAKULA PAKA SOKWE,MBWA,, HAPA HAPA TANZANIA MACHINGA HUKO WANAKULA PANYA MBONA HAWAPAKEMEWA NA MTU.
ReplyDeleteSKUUNGI MKONO KWA HULO,.
SISI MBONA TUNAKULA NYAMA YA NGOMBE NA INDIA NI MARUFUKU KULA NGOMBE HILO UNALIFAHAMU
Sasa hata kama wanakula vyote hivyo ulivyovita sasa ndio na wengine wale? Ukiambiwa kula mavi utakula? Si kwa sababu umesikia wengine wanakula
DeleteLUU!!!
ReplyDeleteMJESHI UPO SAHIHI JE WAKIUZIWA NYAMA YA MBWA WASILALAMIKE,USHAURI WANGU KWAKO MJESHI WAITE NEMC HAWA NI WATU WA MAZINGIRA.KUJUA HAYO MACHINJIO NI RASMI KWA UCHINJAJI?? NA JE HAO PUNDA WANA VIBALI HALALI VYA WIZARA YA KILIMO NA VETERNARY??
ReplyDeleteTBS (na wakaguzi wengine) wana kazi kubwa sana. Madukani kuna vitu takribani asilimia 40 havifai kwa matumizi ya binadamu, ukaguzi ukisimamiwa vizuri itakuwa balaa, vyakula (na ma-apple barabarani), simu zisizo na viwango, vipodozi, mbegu, mbolea, hata dawa za mifugo na za binadamu, malori-basi yanayobeba abiria, n.k.
ReplyDeleteNakumbuka siku moja nikiwa mitaani ughaibuni, ghafla wahusika wakaingia duka moja, kumbe ni surprise inspection ya kukagua bidhaa zisizofaa!! Hapa kwetu nilikoishi miaka takribani 50 (35 kati ya hiyo nikiwa utambuzi kamili) sijawahi kukutana na surprise visits kama hizo, hivyo tunauana wenyewe taratibu!!
Hivi tumelala usingizi kiasi hicho?!
MIMI MWANAJESHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA -TPDF,KAMA NILIVYOJIELEZA KAMA MCHANGIA MADA NAMBA MOJA NA NINAISHI KARIBU NA ENEO HILI AMBALO PUNDA HAWA WAPO.KWA KWELI INASIKITISHA HASA KUONA NCHI INAJIENDEA KAMA HAINA MWENYEWE.JE NI SAHIHI MACHINJIO TENA YA PUNDA TUNAOWATUMIA KUBEBA NA KUSAFIRISHA VITU,KUWEKWA KATIKA MAZINGIRA AMBAYO SI MAZURI? KWA HABARI NILIONAZO HIVI SASA WAKATI WANAENDELEA NA HUO UJENZI WA MACHINJIO HAYO HAO 100 WALIOPO HAWANA CHAKULA CHA KUTOSHA WANAKUFA.WANAOKUFA WANACHUNA NGOZI NA MIILI YAO INAFUKIWA KIENYEJI TU.NI BIASHARA AMBAYO INAONEKANA INAFANYWA KAMA KUFICHWA SASA SIJUI HAWA WAKUBWA WA TBS,MALIASILI,KILIMO,MAZINGIRA,NA HALMASHAURI YA JIJI HAWAONI KAMA KUNA MAPATO YANAPOTEA KWA KUWA HAKUNA USHURU UNAOLIPWA.NINAAMINI KUTOCHUKULIWA HATUA ZA HARAKA NI DALILI TOSHA KUWA NCHI HII ITAENDELEA KUWA MASIKINI WA KUTOAFUATA TARATIBU ZA KUKUSANYA MAPATO NAKADHALIKA
ReplyDeleteMwanajeshi wa TPDF, nakushauri nenda ofisi husika katoe taarifa nina uhakika watafuatilia, sometimes ku post humu haisaidii
ReplyDeleteMsoja safi hawa wachina wamezidi wanafanya tz ni shamba la bibi.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania.
Hivi VIROBA vina ubora wa TBS? Vinaathiri sana nguvu kazi ya Taifa letu!Kwa nini visiteketezwe? Ufungaji wake unakuwa rahisi kuficha na kutumika wakati wowote. Ajali zinachangiwa na viroba pia.
ReplyDeleteViroba vina ubora wa TBS?
ReplyDeleteHabari. mtoa mada wa kwanza afisa wa jeshi letu la Ulinzi. naomba tuwasiliane nahitaji kufuatilia hiloi suala kwa kina zaidi. mawasiliano yangu hayo 0719076376 au email chalefamily@yahoo.com
ReplyDeleteplz tuwasiliane.
JE UMESIKILIZA REDIO CLOUDS LEO???? 25 JANUARY 2016 KUHUSU HAO PUNDA????
ReplyDeleteMhe.Makamba nimefurahi kusikia kuwa umewasimamisha kazi watu wa NEMC kwa kutoa kibali kwa wachina hawa kuchinja punda huko Dodoma,kwa taarifa yako hao punda wameletwa Dar na wapo Pugu wamefichwa kama mia kuna machinjio ya siri yanaandaliwa na kibaya zaidi wachovu wanachinja wanauza nyama kinyemela.nina uhakika watu wa Pugu Mwakanga,Dunda na Kigogo fresh wawe makini vinginevyo wanakula mishikaki ya punda.
ReplyDelete