Baadhi ya wanakikundi cha Tuwajali Foundation wakiwa pamoja na watoto wa kituo cha Sifa wakati walipo watembelea na kutoa msaada.
Baadhi ya vitu vimetolewa kwa kituo cha Sifa Foundation
Bi. Sifa (Kulia) ambaye ndiye mwanzilishi wa kituo hicho cha Sifa Foundation akiwa anatoa shukurani kwa mmoja wa kiongozi wa Tuwajali Foundation Bw. Nurdin baada ya kupokea msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Unga, Mchele, Sabuni, Nguo na vitu vya kuchezea watoto.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...