Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi
    Kwanza namtakia Muadhama Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar-es-Salaam Cardinal Polycarp Pengo apone haraka na kurudi ktk afya njema.

    Pili Michuzi video clip za kiwango hiki cha ubora kama hii ya Habari Maelezo inastahili pongezi, pia Salim Kikete video zake za BBC Habari ni za ubora mkubwa .

    Ila zile video Michuzi unazo upload toka SIMU TV youtube ubora wake ni wa kiwango cha chini sana kiasi hata kuingalia inakatisha tamaa na sisi watazamaji tunaishia badala ya kuwa-focus ktk habari tunakuwa zaidi ''affected'' na ''kulaani'' ubora mbovu wa video na kukosa kuwa ''focus'' ktk habari yenyewe.

    Michuzi wafikishie masikitiko yetu kuhusu hizi video clip za ubora wa kiwango cha chini sana wenzio ktk tasnia ya habari hususan SIMU TV pamoja na nia yao nzuri ya kutuhabarisha lakini wanafanya kazi duni sana ktk kipindi hiki cha digitali.

    Mdau
    Christos Papachristou
    Diaspora.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...