Baadhi
ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure
wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho
wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Baadhi
ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure
wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho
wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Kulia
ni Dkt.Peter Maziku ambae ni Daktari katika kitengo cha CTC katika
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure akiwa pamoja na
Dkt.Charles Ludibuka ambae ni Mfamasia katika Hospitali hiyo Sekour
Toure walishiriki zoezi la usafi katika Mazingira ya Hospitali hiyo.
Katika picha wakichoma uchafu baada ya usafi.
Hongereni sana. Tunasubiri kuona kama na Dar itakuwa safi. Maana sasa iko mikononi mwa UKAWA. Najua kule Moshi kwenye usafi hawana huruma. Iwe maskini uwe tajiri, uwe unajua sheria au haujui lazima ufuate sheria. Sasa hilo bila shaka litahamia Dar. Ngija tuone. Maana ni kama wakurugenzi na mameya hawahusiki ni usafi. Bado hali si nzuri.
ReplyDelete