Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu Kanda ya Mbeya, Jaji Noel Chocha akihutubia katika Sherehe za Kilele cha Sheria Nchini zilizo fanyika Kimkoa katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya. Mkuu wa Mkoa Mh.Abbas Kandoro akitoa neno kwa Wageni waalikwa hawapo Pichani katika Sherehe za Kilele cha Sheria Nchini zilizo fanyika Kimkoa katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya.
Baadhi ya Wadau wa Sheria na Wageni waalikwa walio hudhuria Sherehe hiyo ya Kilele cha Sheria Nchini zilizo fanyika Kimkoa katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya.
Mkuu wa Mkoa kulia akimpongeza Mmoja wa Waimbaji mahiri wa Kwaya ya Mahakama Kuu Bwana Masanja kwa kazi nzuri aliyo ifanya katika Tasnia yake ya Uimbaji na Ungozi mzuri wa Kwaya hiyo ya Mahakama Kuu.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...