Baadhi ya wananchi wa Eneo la Njiapanda Stereo
Mkabala na Kanisa la Roma Jijini Mbeya wakiwa katika Bajaji iliyogongwa na Lori aina ya Fuso lililo kuwa likiiovateki Bajaji hiyo na kupelekea pia Lori hilo
kuingia kwenye Mtaro kutokana mwendo kasi. Hakukuwa na
majerui wala kifo..
Bajaji iliyogongwa na Roli ikiwa katika hali ya kusikitisha
Gari aina ya Fuso (Roli) likiwa katika jitihada
ya kutolewa kwenye Mtaro.
PICHA NA MR.PENGO MMG
MBEYA.
Sio ROLI ni LORI kiswahili mbona kinaharibiwa ktk habari??!!!
ReplyDelete