Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokelewa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel Tanzania Bwana Benoit Janin, wakati wa hafla ya kuzindua Mtandao mpya wa Teknolojia ya kisasa wa 4G hapo katika viwanja vya Mnara wa Kumbu kumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar Michenzani Mjini Zanzibar. Nyuma ya Balozi Seif ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Balozi Ali Abeid Aman Karume na kulia ni Waziri wa Afya Mh. Mahmoud Thabit Kombo.
Balozi Seif akipokea zawadi maalum kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel Tanzania Bwana Benoit Janin mara baada ya kuzindua mtandao wa 4G wa Kampuni hiyo.Nyuma ya Balozi Seif ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Balozi Ali Abeid Amaan Karume. Picha no:-808 ni:- Balozi Seif Wa Tatu kutoka Kushoto akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Zantel, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na wageni wengine walioalikwa kwenye uzinduzi wa Mtandao wa 4G.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akifurahia jambo na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Balozi Ali Karume kwenye hafla ya uzinduzi wa mtandao Zantel wa 4G.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...