Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo (wa pili kulia), ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 15 ya Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Kibasila akiwasili shuleni hapo, Kulia ni Mkuu wa shule hiyo, Yasinta Matilya. Benki ya CRDB ilitoa msaada wa mifuko 70 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa uzio wa shule hiyo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo (kushoto), akipokea risala kutoka kwa Emmanue Moah ambaye ni mwanafunzi wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Kibasila wakati mahafali ya 15 ya shule hiyo jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ilikabidhi mifuko 70 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa uzio wa shule hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo (kulia), akikabidhi mifuko 70 ya saruji kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibasila, Yasinta Matilya kwa ajili ya ukarabati wa uzio wa shule hiyo
Mkuu wa Shule ya Sekondari Kibasila, Yasinta Matilya (kulia), akimshukuru Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo baada ya mifuko 70 ya saruji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...