Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana mmoja mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa kumbaka bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa kumkamata. (Picha Na Jumbe Ismailly)
Home
Unlabelled
BIBI KIZEE ABAKWA MKOANI SINGIDA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Waliofanya kitengo hicho wasokomezwe lupango hawstahili kuwa katika jamii
ReplyDeleteHuyo kijana kama arabuni ananyongwa yaani kakosa wanawake wa rika lake mpk aende kwa bb wa watu
ReplyDeletekwakweli anastahiki kunyongwa!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteSubhanallah! Astaghfirullah!
ReplyDeleteHuyo si sawa na mzazi wako jamani tena bibi yako kabisa! Mana anakujukuu huku anakwenda wima, leo anakwenda kufanyiwa kitendo kama hicho?! Ina maana huyo mtuhumiwa hakuona walio hirimu yake kote huko mpaka kwa huyo bibi wa watu jamani. Kwa kweli serikali ichukuwe hatuwa kali dhidi ya mtuhumiwa na kuwa fundisho kwa wengine, mdau wa pili nakuunga mkono, huyo angekuwa uarabuni, khalaaaaaas!
Tuungane watu wa imani na itikadi zote kulaani huu ushenzi
ReplyDelete