Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana mmoja mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa kumbaka bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa kumkamata. (Picha Na Jumbe Ismailly)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Waliofanya kitengo hicho wasokomezwe lupango hawstahili kuwa katika jamii

    ReplyDelete
  2. Huyo kijana kama arabuni ananyongwa yaani kakosa wanawake wa rika lake mpk aende kwa bb wa watu

    ReplyDelete
  3. kwakweli anastahiki kunyongwa!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Subhanallah! Astaghfirullah!
    Huyo si sawa na mzazi wako jamani tena bibi yako kabisa! Mana anakujukuu huku anakwenda wima, leo anakwenda kufanyiwa kitendo kama hicho?! Ina maana huyo mtuhumiwa hakuona walio hirimu yake kote huko mpaka kwa huyo bibi wa watu jamani. Kwa kweli serikali ichukuwe hatuwa kali dhidi ya mtuhumiwa na kuwa fundisho kwa wengine, mdau wa pili nakuunga mkono, huyo angekuwa uarabuni, khalaaaaaas!

    ReplyDelete
  5. Tuungane watu wa imani na itikadi zote kulaani huu ushenzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...