Mkuu wa Takukuru wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Eufrasia Kayombo ( kushoto) akisaini hati ya uzinduzi wa klabu ya wapinga rushwa Twikale wose , Lugono kilichopo wilaya ya Mvomero.
Mkuu wa wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Betty Mkwasa akiwa ameushika Mwenge wa Uhuru , baaada ya kukabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Muhingo Rweyemamu ( hayupo pichani).
Mkuu wa wilaya ya Ulanga, mkoa wa Morogoro, Christina Mndeme, ( kulia) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru mkuu wa wilaya ya Kilombero, Lephy Gembe ( kushoto),kuanza mbio zake Aprili 22, 2016
| Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa , wakitoka kuweka jiwe la msingi jengo la kuhifadhia dawa na vifaa tiba katika hospitali ya wilaya ya Ulanga. Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA |


Hii nimependa sana kwani watu hawa huwa wanasahauliwa sana kwa namna zote. Pia ingekuwa vizuri kama walemavu hawa wangekuwa wanapataiwa nafasi za kazi ambazo ziko ndani ya uwezo wao... maana wao pia ni watu kama sisi.
ReplyDeleteDuh akina ras makunja wapo gado kweli katika kuakikisha sebene la mwenge linaenda sawa
ReplyDelete