Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saidi Meck Sadiki akiongea na watumishi wa hifadhi, wilaya na mkoa katika lango la Londorosi.
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro akiwasilisha taarifa fupi ya Hifadhi ya
Kilimanjaro kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Saidi Meck Sadiki
akiwa katika lango la Londorosi.
Watumishi wa Hifadhi ya Kilimanjaro, Wilaya ya Siha na Mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu
wa Idara ya Utalii Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro, Charles Ngendo
akionyesha maeneo ya hifadhi kwenye ramani kufafanua taarifa ya Mkuu wa
Hifadhi.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Saidi Meck Sadiki (watatu kutoka kulia) na
Mkuu wa Wilaya ya Siha Dk. Charles Mlingwa ( wa kwanza kulia) wakiwasili
katika lango la Londorosi, Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro. Katikati ni
mwenyeji wao Betrita Loibooki, Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro.

Vinywaji vyote hivyo mbele ya kila mtu? Si kila mtu angeulizwa anapenda kinywaji gani?
ReplyDelete