SIMU.TV:
Mbunge wa Kilwa Kaskazini Mhe. Vedasto ahoji mpango wa serikali wa
kutengeneza barabara ya kiwango cha lami katika eneo la kihistoria la
vita vya maji maji. https://youtu.be/mN6_ACXc2YA
SIMU.TV:
Je kwa nini serikali inachukua muda mrefu kurekebisha mishahara ya
walimu baada ya kupandishwa vyeo? Mhe. Angela kairuki afafanua. https://youtu.be/vBJhmrQSQq8
SIMU.TV:
Haya hapa majibu ya serikali juu ya ushirikiano wa ofisi ya mdhibiti na
mkaguzi wa hesabu za serikali katika ukaguzi wa taasisi za
muungano. https://youtu.be/b88YuNv7kdw
SIMU.TV:
Mhe. Charles Mwijage atoa ufafanuzi juu ya mpango wa serikali kujenga
viwanda katika mkoa wa Katavi na kutoa mafunzo ya ujasiliamli kwa
vijana; https://youtu.be/ipc_QTZAxD0
SIMU.TV:
Mbunge wa viti maalum Mhe.Upendo Peneza aitaka serikali kutekeleza
ahadi yake ya kupunguza misamaha ya kodi hadi asilimia 1 ya GDP; https://youtu.be/AH0xHUvlWGM
SIMU.TV:
Waziri wa katiba na sheria Dkt. Harrison Mwakyembe amesema serikali
itaendelea kuratibu mfumo wa uimarishaji wa sheria za nchi.https://youtu.be/ wJV91GwUSIA
SIMU.TV: Watoto 4 wa familia moja wilayani Same wameuawa kwa kukatwa mapanga wakiwa usingizini na mtu anayedhaniwa kuwa ni ndugu yao; https://youtu.be/wSny4bwyYjQ
SIMU.TV: Nini hatma ya wananchi wafanyabiashara baada ya ujenzi wa masoko ya kimataifa kusimama Kyerwa. https://youtu.be/0qVNQ5M1rmY
SIMU.TV: Sikiliza mpango wa serikali katika kutatua kero za maji safi na salama katika jimbo la Nanyamba na sehemu mbalimbali nchini; https://youtu.be/sy3sM1gCxYA
SIMU.TV: Fahamu mpango wa serikali katika kukabiliana na kesi za unyanyasaji na ukatili dhidi ya watoto nchini; https://youtu.be/dOsctJ2YzGg
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...