ASKOFU wa Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu ametoa Sakramenti ya Kipaimara kwa watoto 26 wa Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma- Mbezi beach jimbo kuu la Dar es Salaam jana Juni 19,2016.
Askofu wa Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu(Mwenye Kofia ya Kichungaji) akiwa katika picha ya pamoja na watoto 26 waliopata Kipaimara jana pamoja na viongozi mbalimbali wa Parokia ya Bikira maria Mama wa Huruma Mbezi beach jimbo kuu la Dar es Salaam.
Baadhi ya watoto wakiandamana kuelekea ndani ya kanisa kwaajili ya Kupata Sakramenti ya Kipaimara.
Watoto wakienda kumpongeza Askofu wa Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu(Mwenye Kofia ya Katikati kwa kufika katika Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma- Mbezi beach jimbo kuu la Dar es Salaam jana Juni 19, 2016.
Askofu wa Mkuu wa Jimbo katoliki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu (Aliyevaa Msalaba) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waumini wa Parokia ya Bikira maria Mama wa Huruma Mbezi beach jimbo kuu la Dar es Salaam mara baada ya kutoa Sakramenti ya Kipaimara kwa watoto 26 wa Parokia hiyo.
KATORIKI? hivi sikuhizi hamfundishwi Kiswahili fasaha huko mashuleni?
ReplyDelete