Msemaji Mkuu Idara ya Uhamiaji nchini, Abas Irovya akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - Maelezo jijini Dar es salaam, juu ya Idara hiyo kuanzisha utaratibu wa kuwatoza faini wahamiaji haramu pindi watakapokamatwa. Wengine pichani ni toka kushoto ni Mrakibu Msaidizi Uhamiaji, Rosemary Mkandala,Afisa wa Divisheni, Usimamizi na Udhibiti Mipaka, Wilson Bambaganya pamoja na Mkaguzi wa Uhamiaji, LesileJames Mbotta.
Home
Unlabelled
Idara ya uhamiaji kuwatoza faini wahamiaji haramu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Uamuzi huo ni wa kupongezwa, ilikuwa tunapoteza raslimali nyingi kuwatunza hapa nyumbani. Nchi nyingine waliona haya mapema na wakaanza utaratibu huu.
ReplyDelete