Maelfu ya waumini wa dini ya Kiislam toka maeneo mbalimbali Jijini Dar es salaam na mikoani wamejitokeza kwenye Mashindano ya kusoma Quraan Tukufu kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

 Vijana kwa wazee  wamejitokeza kushuhudia mashindno hayo.
Wengine wengi walibaki nje ya uwanja baada ya nafasi kujaa ndani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Masha Allah! Mana umati si mdogo si haba. Nawatakia kila la kheri washiriki wote katika mashindano haya ya "Hafidhil Qur'an' huku nikiutakia Umma wote wa Kiislam duniani RAMADHAN KAREEM.

    ReplyDelete
  2. Mashaaalh
    Mashaaalah umati wa kutosha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...