Maelfu ya waumini wa dini ya Kiislam toka maeneo mbalimbali Jijini Dar es salaam na mikoani wamejitokeza kwenye Mashindano ya kusoma Quraan Tukufu kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Vijana kwa wazee wamejitokeza kushuhudia mashindno hayo.
Wengine wengi walibaki nje ya uwanja baada ya nafasi kujaa ndani.
Masha Allah! Mana umati si mdogo si haba. Nawatakia kila la kheri washiriki wote katika mashindano haya ya "Hafidhil Qur'an' huku nikiutakia Umma wote wa Kiislam duniani RAMADHAN KAREEM.
ReplyDeleteMashaaalh
ReplyDeleteMashaaalah umati wa kutosha
Ramadhan Kareem
ReplyDelete