Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela  leo alishiriki katika Iftar iliyoandaliwa na Masjid Al Ihsaan ya mjini Iringa.  Kituo hiki kipo Mawelewele katika manispaa ya Iringa kinaongozwa na Sheikh Khalfan Hassan Msaka
 Sheikh Abdisalaam Ayoub akimlaki Mhe Kasesela  kushiriki katika futari kituoni hapo na Sheikh Abdisalaam Ayoub. Katikati ni sheikh Khalifan Msaka
 Mhe Kasesela akisalimiana na mwalimu wa dini wa kituo hicho
 Sehemu ya waumini wakisikiliza mawaidha baada ya kufuturu
Sehemu ya waumini wakisikiliza mawaidha baada ya kufuturu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2016

    D.C looking very naturally the part.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...