Hatimae mdau mkazi wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, amevuta rasmi jiko a.k.a mwandani wake baada ya kukaa vikao kwa muda mrefu na hatimae mambo yamejipa leo. hizi ni baadhi ya taswira mbalimbali za shamrashamra za harusi hiyo ya kukata na shoka kama uonavyo hapo juu katika taswira ikiwa ni bwana na bibi harusi wakiongoza msafara kwa kuimbiwa nyimbo kedekede za kuwapongeza wawili hao.PICHA ZOTE NA MR.PENGO - MMG RUKWA.
Dereva wa Boda boda akiwawahisha Wasindikizaji maarufu kwa jina la Wasafisha njia huku shamra shamra zikiendelea..
Mambo yamenoga barabarani.
Nimeipenda sana. Simple and clear.
ReplyDeleteImenikumbusha mbali sana bi harusi amepakiwa kwenye baiskeli
ReplyDeletepriceless!
ReplyDelete