Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimkabidhi zawadi mchezaji bora wa siku kutoka timu ya Goms Utd, kushoto ni Mkurugenzi wa Clouds Media Ndugu Joseph Kusaga.

Timu ya Goms Utd iliibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Buguruni Utd katika mzunguko wa 16 wa michuano hiyo ya Ndondo Cup. 
Mshambuliaji wa Buguruni United akijaribu kutaka kmtoka beki wa Goms unite.
Kipa wa Buguruni United akiruka bila mafanikio na kuruhusu goli la kwanza kufungwa na Goms United.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati mechi ya mpira wa miguuu kati ya timu ya Goms United ya Gongo la Mboto na Buguruni United .
Sehemu ya watazamaji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...