Rais wa Rwanda, Paul Kagame (wapili kulia)akiwana mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli (wakwanza kulia) amkiwakabidhi tuzo Mkurugenzi wa Kanda wa Chuo cha VETA, Habibu Bukko(Kushoto) katika maonesho ya 40 ya kibiashara ya kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waliotembelea katika banda la VETA wakisaini kitabu cha ushiriki katika maonesho ya 40 ya kimataifa ya mwaka huu katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Naibu waziri wa Elimu, Sayansi, Technolojia na ufundi, Mhandisi Stella Manyanya akipewa maelekezo na Meneja wa Mawasiliano VETA, Peter Sitta alipotembelea banda la VETA katika maonesho ya 40 ya kimataifa jijini Dar es Salaam.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...