Watoto wa Marehemu Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Wakiwa Abi na Yusufu Mtulia wakiwa na Muheshimiwa Balozi Mstaafu Mzee Mustafa Nyanganyi pamoja na wenza wao kwenye Shughuli ya Kisomo iliyofanyika DMV.
Familia ya Alhaji Professor Idris Ali Mtulia Inapenda kuwashukuru watanzania na wengine wote kwa kuwa nao kwenye kuomboleza toka msiba ulipotokea, mazishi, visomo, michangio na mpaka hii leo. Familia inamuomba Mungu awazidishie ninyi na vizazi vyenu mambo yote ya kheri.
Mdau Mussa akimfariji mtoto wa Marehemu Alhaji Professor Idris Ali Mtulia wakati wa kisomo kilichofanyika DMV, Marekani
![]() |
Dkt. Mwamoyo Hamza wa VOA (kati) na baadhiya wadau waliofika katika arobaini ya Marehemu Alhaji Professor Idris Ali Mtulia iliyofanyika DMV, Marekani |
Sehemu ya wadau waliofika katika arobaini ya Marehemu Alhaji Professor Idris Ali Mtulia iliyofanyika DMV, Marekani
Wadau kinamama waliofika katika arobaini ya Marehemu Alhaji Professor Idris Ali Mtulia iliyofanyika DMV, Marekani.
Picha zote na Vijimambo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...